Kiswahili

Current Status
Not Enrolled
Price
Closed
Get Started
This unit is currently closed

Utangulizi

Madhumuni ya kipengele hiki ni kukusaidia katika kufunza somo la lugha ya KIswahili kwa wakufunzi. Kipengele hiki kimetilia mkazo stadi nne ambazo ni kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika. Matarajio ni kuwawezesha kuimudu na kuishirikisha vyema lugha katika mazingira mbalimbali. Kipengele kimeshughulikia sarufi, msamiati, methali na misemo, mazungumzo, ufahamu na uandishi wa insha.

Madhumuni

Kufika mwisho wa kipengele hiki utaweza:

  1. Kujieleza kwa ufasaha.
  2. Kusoma kwa ufasaha.
  3. Kufuata maagizo.
  4. Kuandika kwa usahihi.
  5. Kuwasilisha ujumbe, dhana na fikra.
  6. Kujieleza kwa ujasiri na ukakamavu mbele ya hadhara.
  7. Kuonyeasha ujuzi wa stadi za lugha ya kiswahili.
  8. Kukuza hamu ya kusoma lugha ya KIswahili.